Read more »
Tuesday, 26 August 2014
Friday, 8 August 2014
Na hii ni ya Benki kuu ya Tanzania tena baada ya kutangaza kuleta ile sarafu ya 500.
Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mabadiliko ya noti ya sh. 500 ambayo itaacha kutumika siku chache zijazo nchini Tanzania na mbadala wake kuwa sarafu ya shilingi 500, Watanzania mbalimbali wamekuwa na wasiwasi na taarifa hiyo pamoja pia na kuamini uchumi wa nchi unaanguka.
millardayo.com imepata nafasi ya kuongea na mchumi wa benki kuu kwenye kurugenzi ya utafiti na sera za uchumi Lusajo Mwankemwa ambae amejibu hizo headlines kwa kusema hiki kifuatacho.
‘Kwa niaba ya benki kuu ya Tanzania amewatoa hofu kuhusu haya mabadiliko na kusema haijaja kutokana na ukuaji na ushukaji wa uchumi wa nchi ya Tanzania, yaani kuanza kutumika kwa hii sarafu hakuhusiani na Tanzania kushuka kiuchumi’
‘Noti ya 500 imeonekana inachakaa sana ndani ya miezi 6 kutokana na kuwa na mzunguko mkubwa ikilinganishwa na noti nyingine na haipitii ule mfumo wa kawaida wa kibenki kurudi benki kuu kwa ajili ya kuibadilisha, tulitarajia Mwananchi anapokwenda bank kupeleka pesa zake basi na 500 iwe miongioni mwa hizo pesa ili tuzibadilishe kwa kutoa noti mpya ambazo tunazo benki kuu lakini haijawa hivyo’
‘Tumegundua Mwananchi anaitumia ile mia tano huku chini ambapo pesa anazopeleka benki ni shilingi elfu mbili, elfu 5 na elfu 10 lakini 500 anabakiza kwenye droo kwa ajili ya matumizi madogomadogo, matokeo yake inatumika huku chini kwenye mikono ya watu na haipati kurudi kwenye mfumo wa kibenki kubadilishwa ndio maana tumeona ni busara kuiondoa na kuleta sarafu’
‘Kiuchumi hili halina muingiliano wa moja kwa moja, itambulike kwamba kinachofanywa ni kuondoa noti ya 500 yenye thamani ya 500 na kuleta sarafu yenye thamani ileile ya shilingi 500, kwahiyo thamani iko palepale
Read more »
‘Kwa niaba ya benki kuu ya Tanzania amewatoa hofu kuhusu haya mabadiliko na kusema haijaja kutokana na ukuaji na ushukaji wa uchumi wa nchi ya Tanzania, yaani kuanza kutumika kwa hii sarafu hakuhusiani na Tanzania kushuka kiuchumi’
‘Tumegundua Mwananchi anaitumia ile mia tano huku chini ambapo pesa anazopeleka benki ni shilingi elfu mbili, elfu 5 na elfu 10 lakini 500 anabakiza kwenye droo kwa ajili ya matumizi madogomadogo, matokeo yake inatumika huku chini kwenye mikono ya watu na haipati kurudi kwenye mfumo wa kibenki kubadilishwa ndio maana tumeona ni busara kuiondoa na kuleta sarafu’
‘Kiuchumi hili halina muingiliano wa moja kwa moja, itambulike kwamba kinachofanywa ni kuondoa noti ya 500 yenye thamani ya 500 na kuleta sarafu yenye thamani ileile ya shilingi 500, kwahiyo thamani iko palepale
Nuh Mziwanda atemana na Shilole baada ya kukuta meseji siyo kwenye simu yake
Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "Shilole"
Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada ya kukuta meseji kwenye sim ya shilole iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar" baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele yake kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi nipo nae asiongee chochote.
Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa shilole
Subscribe to:
Posts (Atom)
add
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "S...
-
Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mabadiliko ya noti ya sh. 500 ambayo itaacha kutumika siku chache zijazo nchini Tanzania na mbadala wake kuw...
MITANDAO YA KIJAMII
Sample Text
Text Widget
statistics
Share this Post
WELCOME TO THE VIJO CLASIC
Online CLothes,fishion Dresigner Dresses
About us
Gadgets
Technology
Find Us On Facebook
Featured Content Slider
Latest Stories
VIJO
Contributors
Followers
Photography
Business
Video Of Day
Sports
Pages
Featured Posts
Main Menu
Formulir Kontak
Flickr Images
Advertise Here
TopMenu
Blog links
Subscribe
Popular Posts
-
Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "S...
-
Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mabadiliko ya noti ya sh. 500 ambayo itaacha kutumika siku chache zijazo nchini Tanzania na mbadala wake kuw...
Popular Posts
-
Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "S...
-
Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mabadiliko ya noti ya sh. 500 ambayo itaacha kutumika siku chache zijazo nchini Tanzania na mbadala wake kuw...
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

Facebook
Twitter
RSS