Friday, 8 August 2014

Nuh Mziwanda atemana na Shilole baada ya kukuta meseji siyo kwenye simu yake

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe   Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "Shilole" 
Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada  ya kukuta meseji kwenye sim ya shilole  iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar" baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele yake kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi nipo nae asiongee chochote.

Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa shilole

0 comments:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

vijo clasic

pamba nyepes

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com